Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika
la Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza alipokuwa
akifunga mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza
kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini
ya miaka mitano (5) nchini Tanzania.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu
unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya
watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania, wakiwasilisha kazi
baada ya mijadala ya makundi.
Meza kuu ikipokea maswali toka kwa washiriki wa mkutano uliojadili
mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa
watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini
Tanzania.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu
unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya
watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania, wakiwasilisha kazi
baada ya mijadala ya makundi.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu
unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya
watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania, wakiwasilisha kazi
baada ya mijadala ya makundi.
Baadhi ya wawasilisha mada toka meza kuu wakijibu maswali ya washiriki
wa mkutano uliojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha
huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka
mitano (5) nchini Tanzania.
Mratibu wa mkutano uliojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza
kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini
ya miaka mitano (5) nchini Tanzania (kushoto) akimkaribisha Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez kabla ya kufunga mkutano huo.
Sehemu ya washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu
unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya
watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania ikifuatilia
majadiliano.
Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza
kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini
ya miaka mitano (5) nchini Tanzania ikifuatilia majadiliano wakiwa
katika picha ya pamoja. Mkutano huo ulifanyika jijini Dar es Salaam kwa
siku mbili mfululizo.
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika
la Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akizungumza na
baadhi ya waandishi wa habari mara baadha ya hafla ya kufunga mkutano
uliojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za
afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5)
nchini Tanzania.

0 comments:
Post a Comment