Mwenyekiti
wa Chama cha Wakulima ( AFP) Said Soud akizungumza na Waandishi wa
Habari hawapopichani akizungumza kulaani kitendo cha Chama cha Wananchi
(CUF) kutoka katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kulia ni Afisa wa
Habari wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Ali Issa na kushoto ni
Shaibu Masoud Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Wakulima (AFP).
Baadhi
ya Waandishi wa Habari wakipokea maelezo kwa Mwenyekiti wa Chama cha
Wakulima (AFP)Said Soud katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo
Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment