Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,
akisaidia kuzima moto ambao uliteketeza Soko Kuu la Masasi Mkoani Mtwara, usiku
wa kuamkia jana wafanyabiashara zaidi ya 1000 wamepata hassara.
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,
akimsikiliza Mwenyekiti wa Soko Kuu wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Abdallah
Mandoma, lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana, mjini humo ambapo chanzo
cha moto huo kimeelezwa ni hitilafu ya umeme.
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,
akisalimiana na askari aliposhuka kuwapa pole abiria waliopata ajali eneo la
Kata ya Mtua Kijiji cha Kilimahewa A, Mkoani Lindi jana, ambapo watu wawili
walipoteza maisha. Chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa basi akijaribu kumkwepa
muendesha baskeli.
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,
akizungumza na wananchi wa eneo ilipotokea ajli hiyo
0 comments:
Post a Comment