Wapambe wa Bunge wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Max, wakati likiwasili kwenhye Viwanja vya Karimjee.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini
katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita,
kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa
shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo Juni 27, 2015 kwenye Viwanja
vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Kulia ni mkewe Mama Salma Kikwete.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa
Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max,
wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete,
akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa
Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max,
wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne
Makinda, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam, leo kwa ajili ya kushiriki shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa
Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max.
Sehemu ya waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni...
Waombolezaji....
Wanafamilia wakiwa na nyuso za huzuni....
Waombolezaji.
Rais
Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Makamu wake, Dkt. Bilal, wakati
walipokuwa katika shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita,
marehemu Donald Kelvin Max, zilizofanyika leo kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Bilal, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na
baadhi ya Viongozi wakijumuika na waombolezaji katika shughuli za kuaga mwili
wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max, leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin
Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo kwenye Viwanja
vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Max, wakati wa shughuli
za kuaga mwili zilizofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar
es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiifariji familia ya marehemu Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili
zilizofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

0 comments:
Post a Comment