Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad alipowasili viwanja vya Ikulu jana kuhudhuria katika futari
ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais,[Picha
na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad wakiwa katika futari ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara
zilizo chini ya Ofisi ya Rais,(kushoto) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Khamis Haji,[Picha na Ikulu.]
Viongozi
mbali mbali wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais wakiwa katika
futari ya pamoja iliyotayarishwa jana katika viwanja vya Ikulu Mjini
Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Wafanyakazi wanawake wa Wizara mbali
mbali wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais wakiwa katika futari ya
pamoja iliyofanyika jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo
Viongozi Wakuu wa Nchi walihudhuria ambao ni Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,Makamo wa Kwanza wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,[Picha na Ikulu.]
Waheshimiwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar pia walijumuika katika futari
ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya
Rais,iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar jana,
[Picha na Ikulu.]
Wafanyakazi
wanawake wa Wizara mbali mbali wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais
wakiwa katika futari ya pamoja iliyofanyika jana katika viwanja vya Ikulu Mjini
Zanzibar,ambapo Viongozi Wakuu wa Nchi walihudhuria ambao ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,Makamo
wa Kwanza wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,[Picha na
Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment