Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa
watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara
akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza leo,wakati wa ziara ya
kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na
kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Kushoto ni Katibu wa
CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu. Zaidi ya wapinzani 50 walijiunga papo hapo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani
kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa
hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza leo
Komredi
Kinana akipokea kadiu kutoka kwa aliyekuwa mwananchama wa ACT -MZALENDO
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Wilaya ya Magu, Juliana Kachilu
akikabidhi magwanda ya Chadema kwa Komredi Kinana baada ya kutangaza kuachana
na chama hicho na kuamua kujiunga na CCM katika mkutano uliofanyika katika Mji
wa Kisesa, Magu. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO
BLOG
Komredi Kinana akionesha kadi za vyama mbalimbali vya upinzanik baada ya kuzipokea
Katibu
wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Kwimba, Pendo Machilu (kulia) akimvisha
sare ya CCMaliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema, Juliana
Kadi mbalimbali za upinzani zilizotolewa na waliokuwa upinzani baada ya kujiunga CCM LEO
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Wilaya ya Magu, Juliana Kachilu akielezea sababu za kukihama chama hiucho na kujinga na CCM |
Aliyekuwa
mwanachama wa ACT-Mzalendo,, Gervas Ncheye akijieleza sababu
zilizomfanya ahame cha ma hicho na kujiunga na CCM mkutano huo wa
hadhara.
Gervas akipongezwa na Mchumi wa CCM Mkoa wa Mwanza, Mansoor baada ya kujiunga CCM kutoka ACT Mzalendo
Komredi Kinana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mgesa Mulongo wakifungulia maji kwenye bomba walipokagua Dip ya Maji
Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akielezea jinsi alivyoitikia agizo la Katibu
Mkuu wa CCM, Komredi Kinana la kuwataka Mamlaka ya Mapato Tanzania na Ofisi ya
Kamanda wa Usalama Barabarani kuanza utaratibu wa kuwafuata wateja waliko
kuwapatia leseni za biashara na bodaboda.
Komredi Kinana akipandisha bendera alipozindua tawi la CCM la Waendesha Bodaboda Mjini Magu.
Komredi Kinana akizungumza katika mkutano wa Halmashauri ya CCM Wilaya ya Magu
Kikundi cha ngoma za asili ya Mwanalyako kikitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara mjini Magu.
Kikundi cha Mwanalyako kikitumbuiza wakati wa mkutano huo
Kikundi cha sanaa cha Magu One Theather kikitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM Mjini Magu.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Magu.
Komredi Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Magu, mkoani Mwanza
Komredi
Kinana akibeba tofali alilolifyatua alipokwenda kukabidhi mashine kwa
vijana wafyatuaji matofali wa Ilungu katika Kata ya Nyigogo, wilayani
Magu.
Komredi
Kinana akikagua nyumba iliyojengwa kwa matofali yanayofyatuliwa na
kikundi cha vijana cha Ilungu katika Kata ya Nyigogo.
Komredi
Kinana akifunua pazia ikiwa ni ishara ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Jengo
la CCM Tawi la Lugeye, Kitongosima wilayani Magu.
Mhandisi
wa Maji Wilaya ya Magu, Eng. Rutta Merchades akielezea kuhusu maendeleo ya
Mradi wa Maji katika Kata ya Nyanguge, wilayani Magu.
Komredi Kinana akitoka kukagua mitambo ya kusukuma maji katika Kata ya Nyanguge, wilayani Magu.
Mama mkazi wa Kata ya Nyanguge, akitwishwa ndoo ya maji na Komredi Kinana aliyezindua mradi wa maji katika kata hiyo.
Mkuu wa
Wilaya ya Magu, Karen Yunus akizungumza wakati Kinana alipokwenda
kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Xray katika Kituo cha Afya cha
Kisesa, wilayani Magu.
Komredi Kinana akitoka kukagua jengo la Xray la kituo hicho cha afya.
Wananchi wa Kisesa, wakipiga makofi walipokuwa wakimlaki Komredi Kinana kwenye mkutano wa hadhara
Katibu wa Mkoa wa Mwanza, Mtaturu akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu wakati wa mapokezi ya Komredi Kinana mjini Mwanza.
0 comments:
Post a Comment