Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono wakati wa kupokea maandamano ya
waathirika wa madawa ya kulevya walio katika matibabu kwenye Maadhimisho ya
Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia ni katika Viwanja vya
Taasisi ya sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini Bagamoyo leo Juni 26,
2016
Wasanii
wanafunzi wa Mwaka wa tatu wakichezaa igizo la athari za madawa ya
kulevya mbele ya Rais Kikwete wakati wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya
Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia ni katika Viwanja vya Taasisi ya sanaa na
Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini Bagamoyo leo

0 comments:
Post a Comment