Taarifa ya ajali gari
kugonga treni, leo tarehe 01/07/2015 majira ya 0730 gari no T. 837 CTM aina ya
ISUZU Jouney mali ya FEISAL s/o HUWEL ikitokea Tindiga kwenda Morogoro
ikiendeshwa na Bakari s/o Seleman 35yrs mkazi wa kilosa iligonga treni no 88u03
treni iliyokuwa ikitoka Morogoro kwenda Dodoma ikiendeshwa na Inea s/o
Chipindula 48yrs mkaburu mkazi wa Morogoro ajali imesababisha vifo vya watu 4,
(01)Salehe s/o Gombaike 35yrs mkutu, (02)Mama Husna 33yrs mzaramo mkazi mamoyo,
(03)Sulat Mwajiri 06yrs, (04)Mwajiri 38yrs mkazi wa pugu dar es salaam,
majeruhi 25 wote wamelazwa hospitali ya wilaya Kilosa. KAIMU RPC MOROGORO
0 comments:
Post a Comment