Waziri
wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Haji Omar Kheir
alienyoosha mikono akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mradi wa
Uwekaji Kamera za kiusalama katika mji wa Zanzibar Ofisini kwake Vuga
mjini Zanzibar.
Mwandishi
wa Habari Mwandamizi wa ITV Farouk Karim wa kwanza kushoto akiuliza
maswali katika mkutano wa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa
na Idara Maalum Haji Omar Kheir na Waandishi wa Habari akielezea mradi
wa Uwekaji Kamera za kiusalama katika mji wa Zanzibar Ofisini kwake Vuga
mjini Zanzibar.
Waziri
wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Haji Omar Kheir
akifafanua jambo katika Mkutano na Waandishi wa Habari akizungumzia
mradi wa Uwekaji Kamera za kiusalama katika mji wa Zanzibar Ofisini
kwake Vuga mjini Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment