Maandalizi
ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Tiba na Marekebisho ya Tabia kwa Watumiaji wa
Dawa za Kulevya,ujenzi huo unafanyika Kidimni Unguja. Maradi huo unatekelezwa
kwa Fedha za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na kusimamiwa na Ofisi ya Makamu wa
Kwanza wa Rais Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment