Kukamilika kwa jengo
jipya la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA), kumeelezewa kuwa chachu
kubwa ya kuleta mabadiliko ya kiutendaji na kuongeza ufanisi katika
bandari ya Dar es Salaam na hii ni kutokana na taasisi pamoja na kampuni zote
zinazotoa huduma kufanya kazi katika kituo kimoja ( One Stop Centre) jambo
litakalosaidia kuimarisha utoaji wa huduma katika bandari hiyo.
0 comments:
Post a Comment