Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati akifungua
Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi
wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA),
Profesa Samuel Wangwe akitoa hutuba mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati
wa uzinduzi wa kongamano hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na
Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA), Profesa
Samuel Wangwe akitoa hutuba mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa
uzinduzi wa kongamano hilo.
Wadau
wa masuala ya sayansi wakiwa kwenye kongamano hilo.
0 comments:
Post a Comment