Mbunge wa Arusha mjini
Godbless Lema ametiwa nguvuni na polisi mara baada ya kubwatuka polisi hawajui
kazi yao yakulinda sheria.Mbunge huyo aliulizwa na polisi wewe ni nani swali
lililochochea kumdhihaki askari akidai askari sio mzima hamjui hata yeye kama
ni mbunge na mjumbe wa kamati kuu chadema na mdau wa utetezi wa wananchi.
0 comments:
Post a Comment