Habari za leo mpenzi
msomaji wa tovuti yetu karibu katika muendelezo wa kupeana taarifa kuhusu mimea
tiba na afya kwa ujumla.
Leo napenda tuzungumzie mapesheni, tunda hili mmea wake hukuwa kwa kutambaa, hivyo katika ukuaji wake ni muhimu kuweka miti ili iweze kusaidia kukua vizuri.
Mapesheni yanasifika kwa kuwa na virutubisho bora kwa afya ya binadamu ikiwemo vitamin A, C, B2, B6, na E, flavonoids, pectin pamoja na madini ya chuma.
Mpesheni yanauwezo mzuri katika kupunguza maumivu ya mishipa ya fahamu na maumivu ya tumbo la hedhi.
Halikadhalika hali mapesheni husaidia kutibu matatizo ya wasiwasi, msongo wa mawazo na hali ya kuzubaa kwa wazee na watoto.
Hata hivyo, watafiti wanasema kuwa, wajawazito na watoto wachanga wanapaswa kuchukua tahadhari wanapotumia tunda hili, hii ni kutokana na katika majaribio ya utafiti huo walibaini matunda hayo yanauwezo wa kusababisha uchungu na kusababisha watoto kuzaliwa kabla ya wakati, lakini pia huweza kusababisha usingizi hivyo si vizuri kutumiwa na madereva.

Dr. Mandai
0 comments:
Post a Comment