Habari nilizozipata muda huu ni
kwamba Mathias Manga, bilionea wa jiji la Arusha, na Diwani wa Kata ya
Mlangarini Arumeru Magharibi (CCM), amepigwa risasi na watu wasiojulikana usiku
wa kuamkia leo wakati akielekea nyumbani.
Imeelezwa kuwa watu hao
walifanya jitihada zote lengo ilikuwa ni kumteka lakini mfanyabiashara huyo
alijitetea mpaka akajitoa ndio wakaamua kumpiga risasi.
0 comments:
Post a Comment