Makamo
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohammed Gharib
Bilali,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein pamoja na Viongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania wakiwa katika ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma wakati Rais wa
Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hutuba ya kufunga Bunge
leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa
hutuba yake ya kulifunga Mkutano wa Ishirini 20 wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma,(kulia) Spika Bunge Anna
Makinda[Picha na Ikulu.]
Spika wa Bunge Anne Makinda akimuongoza Rais Jakaya Kikwete kuingia katika ukumbi wa Bunge.
Kutoka kushoto ni Waziriu Mkuu mstaafu, Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu mstaafu, Salim Ahmed Salim, Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Rais mstaafu wa awamu ta pili, Ali Hassan Mwinyi wakifuatilia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa kuvunja Bunge mjini Dodoma.

Rais Kikwete akitoka mara baada ya kulivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais
Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu, Ali Hassan
Mwinyi na Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa.
Wimbo wa taifa ukipigwa.
0 comments:
Post a Comment