Baadhi
ya wakazi wa Bunju wamevamia na kukichoma moto kituo cha polisi Bunju A
baada ya polisi kufyatua mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya wananchi waliofunga barabara baada ya mwanafunzi mmjoa kugongwa na gari na kufariki.
Polisi
walilazimika kukimbia na gari lao baada ya kuona wananchi wanawazidi
nguvu kwa kurusha mawe na kukiacha kituo hicho bila ya ulinzi ndipo
wananchi walipokivamia kituo kuvunja milango na kuwatoa wahalifu
waliokuwa wakishikiliwa na kisha kukichoma moto
0 comments:
Post a Comment