Repost @kshertzbongoflava Habari za asubuhi ndugu zangu rafiki zangu
mashabiki zangu na media zote nchini.najua wengi mnajiuliza maswali
mengi sana juu yangu kwanini nimeamua kuingia kwenye siasa lakini leo
naomba nifunguke na kuwaambia kitu.mimi kama mlemavu wa ngozi najikubali
najipenda na ninajiamini lakini yote
tisa napigana kwa uhuru na amani ambayo tunastahili kuipata kutoka
nchini kwetu.nilipoanza kupost picha zangu za siasa kuna ambao
walinipongeza na kuna ambao walinisema kwamba sina uchungu na wenzangu
kwakuwa wanahisi nimeingia huku kwa ajili ya kujinufaisha mwenyewe mimi
ni mpiganaji na ndomana siku zote nimekuwa nikiwaza kuhusu amani
yetu.fimbo ya mbali haiui nyoka na kidole kimoja hakivunji chawa
nikimaanisha kwamba lazima tusimamie sheria ambazo zitatusaidia
kuendeleza amani hivyo basi lazima tuwe na wawakilishi wa kutosha ndani
ya bunge ili sauti zetu zisikike ili sheria kutungwa na kutekelezwa
pia.hivyo mimi kama mtanzania mwenzenu nahitaji support yenu ili niweze
kufikia malengo yetu kwa yeyote ambaye anaupendo nasi na mimi na
harakati zangu anisaidie kwa chochote ambacho kitanifikisha ninapotaka
this is my tigo no 0718785045 na hii ni account number yangu ya crdb 011
2022295800 jina ni hadija shabani Taya unaweza kuchangia humo na kwa
upendo kabisa naomba u repost hii post kadri muwezavyo ahsanteni shukran
@soudybrown @millardayo @mrekebishatabia @arabicchick900 @esilovey
@eshasbuheti @bikira_wa_kisukuma @stevenyerere2 @new_kajala
@wolperstylish @lamataleah @mwasitij @queendarleen4real @murojr
@ms_shamiebasil @shyrosebhanji @ajkikwete @kajumulotz @realoliviasanare
@bdozen @divathebawse @shamsaford @riyamaally @babutale @diamondplatnumz
@jokatemwegelo @erickwangu @makangalemoja
0 comments:
Post a Comment