Ripoti zinasema kuwa
kumetokea mlipuko mkubwa karibu na bunge la Afghanistan huko Kabul .
Picha za runinga
zinaonyesha wabunge wakikimbilia usalama wao.
Zipo ripoti zinazosema
kuwa watu waliokuwa na bunduki walivamia jengo hilo.
Polisi wanajaribu
kuwaondoa watu katika eneo hilo.
Kundi la Taliban
limesema kuwa linajaribu kutekeleza mashambulizi hayo ili kusadifiana na kura
ya kumwidhinisha waziri mpya wa ulinzi.
0 comments:
Post a Comment